Mjasiriamali akisonga Ugali kwa ajili kuwauzi wateja wake wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji kama alivyo kutwa na Kamera ya MICHUZI TV maeneo ya Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, mbali na kuuza Chakula mama huyo pia anauza bidhaa Mbalimbali ili apate fedha za kujikimu.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments