Katika Mkutano wa Baraza kuu la umoja wa vijana UVCCM, uliofanyika jana Agosti 8, 2020, zoezi la upigaji kura wa kupata wabunge wa viti maalumu katika kundi la vijana limemalizika.
Halima Bulembo
Matokeo ya kura za maoni UVCCM Wabunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Baraza la Wawakilishi nafasi mbili.
Walioongoza ni,
1. Saraham Mohamed kura 66
2. Hudhaina Mbaraka Kura 50
Matokeo ya kura za maoni UVCCM Wabunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Wabunge Zanzibar nafasi nne.
Walioongoza ni,
1. Munira Khatib kura 88
2. Latifa Juakali kura 84
3. Amina Baraka Yusuf kura 79
4. Amina Ally Mzee Kura 73
Matokeo ya kura za maoni UVCCM kupata Wabunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana, Wabunge Tanzania Bara nafasi sita.
Walioongoza ni,
1. Lulu Mwacha kura 77
2. Halima Bulembo kura 74
3. Juliana Masaburi kura 70
4. Lucy John kura 48
5 na 6 wamefungana, Judith Kipenga na Asia Abdukarim kura 33.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments