Viwanja Vimeshuka Bei: Bunju na Mapinga | ZamotoHabari.



Viwanja vipo Mapinga (Baobab Sec) karibu na shule ya secondary Mapinga au shamba la Mr lyatuu.

Viwanja vipo umbali wa km 3 tu kutoka Main road. Huduma za maji na umeme zipo na viwanja vimepimwa. 


Vipo viwanja vya ukubwa kuanzia sqm 300, sqm 400, sqm 500, sqm 600, sqm 700, sqm 800, sqm 900, sqm 1000, sqm 1100, nusu eka mpaka eka nzima (Kama unavyoona kwenye ramanj).

Bei ya sqm ni tshs 15,000/= (negotiable)


Luksa kulipa kwa awamu.

Contact mhusika: calls/whatsap 0757100236



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini