Nape: Washindani Wakituchokoza Hatuwezi Kuwachekea | ZamotoHabari.


Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema washindani wakiwachokoza hawawezi kuwaacha.

Nape aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter akimjibu Maria Sarungi.

“Umetumia maneno sahihi kabisa/ you have used exactly words and meaning. Siwezi kusema kuwa eti washindani wakituchokoza tutawachekea hapana nitakuwa mnafiki na hilo wanijua vyema siwezi,” aliandika Nape.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini