Video: Madam Rita aomba radhi mbele ya Waziri Mwakyembe, kisa fedha za Meshack wa BSS | ZamotoHabari.



Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ameomba radhi kwa kuchelewesha malipo ya Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki Fukuta. Madam Rita ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa shindano hilo la Bongo Star Search kwa msimu wa 11 ambapo Waziri Dkt Mwakyembe akiwa mgeni rasmi huku Meshaki Fukuta akiwa ni sehemu ya wasanii waliyopata nafasi ya kutoa burudani. VIDEO:


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini