NEC Yamteua Hashim Rungwe kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya chama cha CHAUMMA. | ZamotoHabari.



Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Hashim Rungwe kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mohammed Masoud kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha CHAUMMA.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini