.Askofu mkuu wa kanisa la SCOAN nchini Nigeria Nabii TB Joshua amesema anasubiri majibu kutoka kwa Mungu kujua kama ataweza kufungua makanisa yake na kuendela na huduma ya uponyaji kwa raia w nchi hiyo na maeno ya jirani.
TB Joshua amesema hayo alipokuwa anajibu hoja ya gavana wa wa jimbo la Lagos juu ya kuruhsiwa kwa mikusanyiko ya kidini ifikapo Agosti 9 baada ya muda mrefu wa kuziliwa kwa makungamano ya dini na miusanyiko kwenye mji huo uliothirika zaidi na Corona.
“Kufuatia tangazo la kuruhusu kufanyika kwa huduma za dini mjini lagos kwanzia Agosti 9, jumapili napenda kuwashukuru viongozi wa serikali kwa kuturuhusu kufanya shughuli hizi, ninachosuburi kwa sasa kusikiliza majibu kwa Mungu, tukipata tu majibu haya tutanza shughuli zetu” amesema TB Joshuakwenye tangazo lake alilotoa kwenye televisheni ya Emmanuel TV.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments