Tekashi 69 Ameanza Vimbwanga vyake Tena, Amchokoza Huyu Tena... | ZamotoHabari.


Tekashi 69 ameanza vimbwanga vyake tena, ameifufua vita kati yake na Rich The Kid.

Jana kupitia akaunti yake ya Instagram, Tekashi aliweka picha inayomuonesha Rich The Kid akiwa na polisi, kisha akaandika "Snitchforever"

Ni kama anauchochea moto hivi, mwezi Mei mwaka huu wawili hao waliingia kwenye vita ya maneno na ilidaiwa kwamba Rich alipita na mpenzi wa Tekashi 69.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini