Sasa naomba kueleza baadhi ya sababu ambazo huchagia kuleteleza upungufu wa nguvu za kiume:-
1. Uchovu wa mwili
2. Msongo wa mawazo
3. Ulevi
4. Kupooza kwa mwili
5. Ugonjwa wa kisukari
6. Kujichua kwa muda mrefu
7. Wasiwasi wa kutekeleza tendo la ndoa
8. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments