Utumiaji wa Bangi Kama Dawa Inaweza Kusababusa Maradhi ya Moyo | ZamotoHabari.


Taasisi ya Moyo ya Marekani imetoa tafiti zinazoonesha kuwa uvutaji wowote unaathiri mapafu, mirija ya damu na moyo kwa ujumla

Utafiti wa hivi karibuni umeonesha bidhaa zote za bangi zinazotumika husababisha maradhi ya moyo ikiwemo mshtuko wa moyo na kiharusi

Tafiti hiyo inatoa tahadhari kwa yeyote anayetaka kutumia bangi hata kama ikiwa ameshauriwa na daktari, kujua madhara yake. Na hivyo wameshauri kutumia bidhaa za bangi ambazo zimehakikiwa kwa kuwa ubora wake una viwango elekezi

Marekani ni moja kati ya nchi ambazo bangi hutumika au hushauriwa kutumika kama dawa kwa baadhi ya maradhi, hivyo kuna bidhaa za bangi ambazo ni halali nchini humo

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini