Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:
'Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a DIVA''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??
Babako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile, Eti we mwanawe Diva, Diva my beuatiful legs!
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments