Msanii Rosa Ree Akishirikiana na Kampuni ya Nice And Free Pads Wamewapa Burudani ya nguvu wanafunzi wa Jangwani Secondary Siku ya Jana Ijumaa Tarehe 28 Aug 2020, Pia wamegawa Pads za Nice And Free kwa kila mwanafunzi
Rosa Ree Ameandika Haya:
#ZamuYanguByRosaRee !!!!! Shukrani nyingi sanaaaa ziende kwenye wanafunzi na walimu woteee wa Jangwani Sec. School pamoja na @nicenfreepads kwa kushirikiana nasi kwenye charity campaign ya #ZamuYanguByRosaRee .....Tuwapende we zetu wa kujitahidi kadri ya uwezo wetu kuweka furaha kwenye nyuso zao
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments