Waziri Mkuu Majaliwa ampa siku saba Waziri Ndalichako | ZamotoHabari.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa muda wa wiki moja kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Ndalichako, kuhakikisha anakutana na wakuu wa vyuo vikuu nchini.

Majaliwa amesema akutana na vyo hivyo ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha mchango wa wanafunzi kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Imeelezwa kuwa wanafunzi wa vyuo wamelipa michango yao lakini mpaka sasa vyuo havijawasilisha NHIF.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini