Gwajima 'Sisi Sio Waganga NJAA Kawe, Tumeshajaza Makapu Yetu Tunataka Tutoe Kilichondani ya Makapu Kwa Wananchi' | ZamotoHabari.



"Sisi kwenye Ubunge hatukuja kuganga njaa, tumekuja kuwatumikia Wananchi, tulishajaza makapu yetu tunataka tutoe kilichondani ya makapu pamoja na cha CCM tuwape Wananchi ili wawe na maisha mapya, tuone furaha tena Kawe" - Ameyasema Hayo Askofu Gwajima kwenye uzinduzi Kampeni leo

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini