KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA VIKINDU,MKURANGA | ZamotoHabari.

 

Wachoma vitumbua waliopo kando kando ya kituo cha Daladala cha kata ya Vikindu barabara Kilwa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Septemba 8, 2020  wakiendeleaa na kazi yao kama wanavyonekana pichani ambapo kitumbua kimoja ni Shiling 100,200




(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini