MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AWASALIMIA WANANCHI WA MCHINGA MKOANI LINDI AKIWA NJIANI KUELEKEA MTWARA | ZamotoHabari.

 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 09,2020.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini