ULEGA AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA JIMBO LA MKURANGA | ZamotoHabari.


Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapindunzi na Wananchi leo kata ya Mipeko katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye viwanja vya Mwanambaya. Wakati wa kunadi sera za chama chake Mhe. Ulega aliieleza kuwa Iwapo CCM itashinda itahakikisha inapandisha hadhi zahanati ya kijiji cha Mipeko na kuwa kituo cha afya,kwa sababu kumekuwepo na ongezeko kubwa la idadi ya watu kila siku.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wa kata ya Mipeko wakimsikiliza Mgombea Ubunge jimbo
la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (hayupo pichani).

Muonekano wa wananchi na wakazi wa Jimbo la Mkuranga wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa Kampeni. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini