Askofu Gwajima Atoa Mpya 'Nina Jina la Kiislam, Naitwa Rashid' | ZamotoHabari.



Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashid Gwajima


Alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye Msikiti ambapo Waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali


Kutokana na suala hilo, alipata sababu ya kuusaidia Uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga Visima vya Maji


Gwajima ameyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya Darasa la Saba ya Shule ya Al Irshaad




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini