Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema ifikapo siku ya kupiga kura Oktoba 28, wananchi wote wakapige kura kufuta kilio na machozi ya miaka mitano
Akizungumza na wananchi katika kampeni zilizofanyika Hai Mkoani #Kilimanjaro, Lissu amewataka wananchi kuchagua Viongozi watakaoleta Haki kwa kuwa #Tanzania inahitaji Haki
Ameongeza kuwa, Maandiko Matakatifu yanasema #Haki huinua Taifa na sio pesa wala barabara. Amewataka wananchi kupiga kura ili kupata haki na kuondokana na miaka ya njaa
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments