Bweni la shule ya sekondari ya kiislam ya African iliyoko maeneo ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Oktoba 9, 2020, na kwamba hii ni mara ya tatu shule hiyo kuungua kwa vipindi tofauti tofauti.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments