Lamine Moro ateuliwa kuwa nahodha mpya Yanga | ZamotoHabari.



Timu ya Wananchi Yanga SC, imemteua Beki ‘kisiki’ Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa klabu hiyo akisaidiana na Bakar Mwamnyeto pamoja na Mukoko Tonombe.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini