Mazrui apatikana, Abdalla hajulikani alipo Zanzibar | ZamotoHabari.



Meneja wa kampeni wa chama cha upinzani cha ACT wazalendo visiwani Zanzibar, amesema kwamba alikuwa ametekwa nyara Jumapili na kutishiwa na watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki, huku mgombea ubunge wa chama hicho akiwa bado hajulikani alipo, siku chache kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini