RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA BCHA BIDHAA ZA NGOZI (KILIMANJARO INTERNATIONAL LEATHER INDUSTRIES CO. LTD) MJINI MOSHI LEO | ZamotoHabari.



 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020  .PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja na viongozi wa dini wakati akielekea kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries
Company Limited eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja na viongozi wa dini wakati wakipata maelezo. ya kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi wengine akikata utepe kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akikagua bidhaa za. viatu baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili kufungua rasmi wa kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha
Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa jukwaa kuu na viongozi wengine wakati wa Ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini