Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwaongoza watanzania kupiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Oktoba 28,2020 katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika nchini kote.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments