KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM | ZamotoHabari.

Mjasiriamali akisubiri wateja wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. ambapo Bei ya Nyanya sado ni  Shiling 5,000 na fungu ni 400.
(Picha na Emmanule Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya  Mchele katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam  kama inavyo onekana katika picha.
Bei za bidhaa mbalimbali katika soko la Makumbusho  wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini