Mume wa Card B Mwanamuziki Offset Aikataa Chanzo ya Corona "Sitaki Kuwa Sehemu ya Majaribio" | ZamotoHabari.


Kinga ya COVID-19 ipo mbioni kuanza kutolewa nchini Marekani, lakini kuna wengi wameonekana kutia mgomo.


Rapa Offset ametangaza kuikataa chanjo hiyo kwa sababu aliyoitaja kwamba haiamini, alipokutana na TMZ wikendi iliyopita alisema "Siiamini hata hivyo, sitaki kuwa sehemu ya majaribio." alisema Offset.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka mtandao wa New York Times, chanjo hiyo itaanza kujaribiwa na watumishi wa ikulu ya Marekani.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini