Wema Sepetu Ameandika haya Katika Ukurasa wake wa Instagram
"Ni vingi vimenipita this week ikiwemo harusi ya Ndugu yangu @hajismanara na usiku mkubwa wa Beauty Legacy 2020... Most of you know nimekuwa sipo sawa kiafya but nashkuru Mungu naendelea vizuri kiasi...
Jana also happened to be siku ya harusi ya kaka angu which niliweza kuattend... Atleast vya ndugu huwezi think twice maana hakuna waandishi wala spotlight though sio kwamba ndo nilikuwa mziiiiima....
My apologies kwa kutoweza kufika maeneo mengine... But Im Happy To see shughuli zote zimeenda salama kabisa... Hongera sana sana kaka angu @hajismanara & A round of applause to my fellow beauty queens for making History... 🤗🤗🤗As for my health, like I said im doing better... Nahisi nimepata homa due to the fact that I overworked myself too much at some point and again sijaumwa muda mrefu kidogo kwahio ka Malaria, ka fatigue, mafua, kifua vikanipiga kwa wakati mmoja... Still on my meds hope to get better and kicking soon...
Thanks for all your prayers... Nawapenda sana...
Msisubiri photos jamani... Sikuweza hata kufanya photoshoot... Kumradhi"
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments