Mawaziri wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete wakibadilishana mawazo huku wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya kikao maalum.Rais Dkt.Magufuli ataongoza kikao hicho cha kwanza cha Baraza la Mawaziri leo jijini Dodoma.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments