Tanzia: Baba Mzazi wa DC Jokate Afariki Dunia | ZamotoHabari.


Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo, Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke), DC Jokate amethibitisha.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini