MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani.
Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kupararaizi .
Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa Kijiji, Kashinde na zingine nyingi.
Mungu aiweke roho yake mahala pema.
Ameen.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments