TANZIA: MFANYABIASHARA SUBHASH PATEL AFARIKI DUNIA | ZamotoHabari.

Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Motisun Group ambaye pia ni Mwenyekiti Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) na miongoni mwa Mabilionea nchini, Subhash Patel amefariki leo.

Taratibu za msiba zinaendelea na taarifa zaidi tutaendelea kujulishana kadri zitakavyokuwa zikitufikia.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini