SPIKA NDUGAI AWAONGOZA WABUNGE KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MUHAMBWE VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA | ZamotoHabari.

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

PICHA NA BUNGE



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini