Nay wa Mitego Apata Ajali ya Piki Piki Akiwahi Interview | ZamotoHabari.



Taarifa zilizoripotiwa hivi punde zinaeleza kuwaMsanii wa HIP HOP nchini, @naytrueboytz
amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview ya kipindi cha "Friday Night Live" kinachorushwa na East Africa TV, kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu.....

Tuzidi kumuombea 🙏🏽


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini