Bondia wa Kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, amempiga kwa TKO, bondia wa Angola Antonio Mayala ,katika raundi ya 9 ya pambano la ubingwa wa uzito wa Super Welter unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Afrika (ABU).
VIDEO:
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA




0 Comments