Simba watawala kikosi kipya Taifa Stars | ZamotoHabari.

 


Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi.


Kocha Kim ametangaza kikosi hicho leo huku akimjumuhisha mshambuliaji wa Mbeya City Denis Kibu kwa mara ya kwanza, na wachezaji kama Jonas mkude, Farid Mussa na Thomas Ulimwengu wakiachwa kwenye kikosi hicho





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini