Nigeria ilifungia mtandao wa kijamii wa #Twitter kwa madai unahatarisha Usalama wa Nchi. Mwanasheria Mkuu, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka kwa yeyote atakayekaidi agizo la Serikali la kufungia Twitter
Hatua ya kufungia Twitter ilikuja muda mfupi baada ya mtandao huo kufuta Tweet ya Rais wa #Nigeria, Muhammadu Buhari ukisema alikiuka Sheria zao
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments