Rais Samia: Sina uwezo wa kuhesabu matofali kama hayati Magufuli, nawategemea muwe jicho langu | ZamotoHabari.



Rais Suluhu Hassan amesema Hayati Dkt. John Magufuli alipoenda kukagua miradi alikuwa anahesabu matofali na bati kubaini ubadhirifu
Amesema yeye sio mtu wa 'Construction Engineering' hivyo hana uwezo wa kuhesabu matofali, na anawategemea wateule wake kumsaidia kazi hiyo. Amesema yeye amezoea mambo ya Kiuchumi kuangalia ‘Graphs'



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini