WASHIRIKI UMITASHUMTA, UMISETA 2021 WAWASILI MTWARA | ZamotoHabari.





Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwasili mkoani Mtwara tayari kwa kushiriki michezo ya UMITASHUMTA na UMISETA 2021, Mashindano yatakayofanyika kitaifa mkoani Mtwara na uzinduzi utafanyika Juni 8, 2021 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona na mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini