Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Khamis Hamza Chilo akilikagua Basi la Kampuni ya Classic lililopata ajali katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga likitoka Kampala Uganda kwenda jijini Dar es Salaam ambapo watu wanne wanaripotiwa kufariki.Ziara hiyo imefanyika usiku wa kuamkia leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments