Barakoa Lazima Mechi ya Simba na Yanga Kigoma | ZamotoHabari.



Katika kupambana na maambukizi ya #COVID19, watakao ruhusiwa kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma ni Mashabiki 17,000

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amevaa barakoa na kutakuwa na mapipa ya maji nje ya uwanja ili wanaoingia wanawe mikono



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini