Mitandao ya soka nchini Misri imeripoti kuwa klabu ya Al Ahly imefikia makubaliano na Simba juu ya uhamisho wa nyota wao raia wa Msumbiji, Luis Miquissone.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Simba imeridhia kumuuza Miquissone kwa Al Ahly kwa kitita cha Sh Bilioni 1.3.
Inadaiwa huenda Al Ahly katika dili hilo ikamtoa mshambuliaji wake Walter Bwalya kuja Msimbazi.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments