Nimeamini Uchawi Upo Duniani Jamani, Nimeota Mtu Kanipa Kanga ina Nuka Kinyesi na Mkojo | ZamotoHabari.

 


Faizaally_ ameandika haya:

Nimeamini uchawi upo duniani jamani ..... juzi nimemuota mtu kanipa kanga nijifunike , kanga ina nuka mavi , mkojo, nikasita ndotoni , lkn nikasema labda Ana nipa kwa wema nikapokea wkt najifunika nikaona ina harufu mbaya Kesho yake baba Sasha kaniblock kwenye cm na mwanangu Alikua anaenda kwenye harusi kwao kwa mtoto wa shangazi yake , baba hajaonekana tena dah ! Bila kosa unakuta baba mtoto kakupa kufuli ya kufa mtu ! Sawa madam boss kwa mara nyingine umefanikiwa tena kumtenganisha binti Na baba yake . Miaka kadhaa wkt baba Sasha Hana mawasiliano Na mtoto nimeomba sana dua kwa maustazi moyo wangu ulikua unaumwa sana kwa nn mwanangu hayuko karibu na baba mpaka Mungu kaitikia baba karudi ila kwa sasa sitaenda kwenye maombi yoyote ntabaki ntabaki ku shukuru Mungu wewe dada Kama furaha yako ni mwanangu kutengana na baba yake basi this time umeshinda umetuweza tumepata kufuli takatifu sasa nimeamua moyoni kabisa nimeamua kusahau Kama Sasha Ana baba basi na awe baba wa watoto wako peke yako , Mungu atampa mwanangu baba wa kambo atakua baba bora Inshaallah 🙏🏽😭 ila jua umenipa maumumivu matakatifu 🤗



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini