Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 682 wa COVID-19
Mwitikio hafifu wa kuchukua hatua dhidi ya mlipuko wa #COVID19 umepelekea ongezeko la maambukizi nchini na Wizara imewataka wananchi kufuata kanuni zote za afya ili kupunguza Maambukizi
Wakuu wa Wilaya na Mikoa waagizwa kutotoa vibali kwa shughuli zisizo na ulazima
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments