Tanzia: Msanii Kissinger wa Wana Njenje Afariki Dunia | ZamotoHabari.




TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, msanii nguli wa Muziki nchini, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini