Billnas Afunguka Kuhusu Nandy "Mambo ni complicated Japo Namuheshimu Sana" | ZamotoHabari.

 


Msanii wa Bongo Fleva, Billnass amesema madai ya yeye kuachana na mchumba wake, Nandy ni jambo lenye mkanganyiko (complicated) na hapendi kulizungumzia. .

"Kuhusu Nandy nisingependa kuzungumza sana upande huo, kwa sababu ni moja ya wanawake ambao ninawaheshimu sana..., complicated," amejibu Billnass.

"Kufuta picha ilikuwa ni sababu ya project yangu ya tatizo, nilikuwa naanza ukurasa mpya, na nilikuwa nafikiria kuja na EP inaitwa ukurasa mpya, na bado ipo kwenye mipango na kuna watu tunazungumza kuona namna tutaiuza," amesema Billnass.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini