Msanii wa Bongofleva Ndani Ya Kipindi Cha WasafiFM BabaLevo Amefunguka Na Kusema Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende, Wasanii Wengine wamekalia kusema wao wakubwa huku mambo hayaendi kumbe wakongwe
Hiyo Yote akimaanisha nguvu yao Kutokana Na Wimbi Kubwa La Ushindani Katika Muziki Wa Bongofleva Pande Hizo Mbili. "Team Alikiba, Team DiamondPlatnumz "
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments