Bunge Lakanusha Wabunge Kutolipa Kodi | ZamotoHabari.

 


Ofisi ya Bunge la Tanzania imekanusha taarifa za upotoshaji zilizoenea katika maitandao ya kijamii zilizodai kuwa wabunge hawalipi kodi kwenye mishahara yao.

Taarifa iliyotolewa leo Jijini Dodoma imekanusha madai hayo ya hivi karibuni nakutaka umma wa watanzania upuuze taarifa hizo zinatolewa.

Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa wabunge wote wanakatwa kodi zote stahiki kwa mujibu wa sheria ikiwemo Kodi ya mapato ya (PAYE) inayokatwa kwenye mishahara ya wabunge kama ilivyo kwa watumishi wa umma wengine na viongozi wa kisiasa ikiwemo.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini