Director Kenny Akanusha Kutemwa na Diamond Platnumz | ZamotoHabari.

 


Director Kenny amekanusha uvumi wa taarifa za kutemwa na msanii Diamond Platnumz baada ya kuonekana kubadilisha mwongozaji wa video yake mpya “Iyo” iliyofanyika na Hanscana.

Mwongozaji wa video huyo amesema alikuwa amesafiri kwenda nchini Zimbabwe kikazi na ndio maana hakufanya video ya “Iyo” waliyoshiriki Focalistic, Mapara A Jazz na Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini bado yupo Zoom Extra.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini