KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE APATIWA CHANJO YA CORONA, LEO KATIKA HOSPITALI KUU YA MAGEREZA UKONGA, DAR ES SALAAM | ZamotoHabari.

 

MKUU wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee leo akiwa pamoja na Mkuu wa Magereza Mkoani Dar es Salaam (hayupo pichani) wamepatiwa chanjo ya Corona ambapo, pia Mkuu wa Jeshi hilo amewaasa askari wa Jeshi la Magereza waliopo mkoa wa Dar es Salaam kufika Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza iliyopo Ukonga ili kupata chanjo hiyo.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini