Mkojani Atoboa Siri "Nikishikwa Chuchu Napiga Yowee" | ZamotoHabari.



Mchekeshaji @mkojani_bin_daruweshi ametusanua ni sehemu gani huwa akiguswa na mkewe wakati wa tendo huwa anatoa ukelele kama chizi lililokula ganja😂.

Ni ngumu kuamini ila mkojani bana akiguswa chuchu tu uyoe unamtoka balaa😂,hili ameliongea akiwa kwenye Lavidavi la Diva,Wasafi Fm.

Pia mkojani amedai huwa wanabadilisha shuka mara kwa mara sababu usiku una mambo mengi sio tendo tu,kuna kulala ukajikuta umetokwa udenda hadi sio vizuri shuka likachafuka.😂.

Mjomba ana Comedy hadi kwenye real life. Kwani wewe ukiguswa wapi unasisimkwa



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini